Habari njema kwa wadau mashabiki wote wa klabu ya Singida Big Stars. Jezi zetu zimerejea tena sokoni kwa awamu ya pili baada ya mzigo wa mwanzo kuisha madukani. …
Safari ya kutafuta mafanikio unaweza kuianza nyakati sawa na mwenzako, kinachotufautiana ni bidii na njia ambazo watu wanatumia kuyapata mafanikio. Sasa hapo utofauti unapoanzia ndipo yanapozaliwa Maneno kama …
NAJIVUNIA NA KUFURAHIA MAENDELEO YANGU NDANI YA SINGIDA – GADIEL MICHAEL Yapo mambo mengi ambayo wadau na mashabiki wetu mngependa kuyafahamu kuhusu wachezaji wetu. Kupitia tovuti yetu hii, …
Rais wa Klabu ya Singida Fountain Gate amekutana na wachezaji na benchi la ufundi kujadili mwenendo wa timu na kuweka mikakati imara kwenye Mzunguko wa Pili wa Ligi …