Historia
Fountain Gate FC

Get Started

Our GALlery
match day highlights

Read More

Upcoming MatchFountain Gate FCFountain Gate FC——:——Fountain Gate FCFountain Gate FCAugust 6, 2024, Tanzania2:51 pm

Our Blog

Recent club news

Championship
July 9, 2024

JEZI ZETU ZIMEREJEA SOKONI


Habari njema kwa wadau mashabiki wote wa klabu ya Singida Big Stars. Jezi zetu zimerejea tena sokoni kwa awamu ya pili baada ya mzigo wa mwanzo kuisha madukani. Sasa unaweza kujipatia jezi yako ya blue, kijani au njano kwa gharama ile ile. Bei Ya Jumla: 28,000/=Bei Ya Rejareja: 30,000/= Kwa mashabiki wetu wa Singida, jezi zinapatikana kwenye ofisi zetu zilizopo Singida Mjini, Mataa ya Sabasaba – Njia ya kwenda Jineri. Mawasiliano: +255 716 363 865 (Madam Tabitha). …

  • 28
  • 0
Football
July 9, 2024

SINGIDA BIG STARS WANAJITAFUTA, WATU HAWASHTUKI!


Safari ya kutafuta mafanikio unaweza kuianza nyakati sawa na mwenzako, kinachotufautiana ni bidii na njia ambazo watu wanatumia kuyapata mafanikio. Sasa hapo utofauti unapoanzia ndipo yanapozaliwa Maneno kama “yule tulisoma wote” “wakati anaanza biashara tulianza wote” na mengine mengi. Hiki ndicho ambacho kinaenda kutokea Kwa vilabu vidogo na vile vya kati nchini Kila nikiitizama Singida Big Stars. Ni miaka michache nyuma hata kwenye ramani ya Soka haikuwepo, hata ilipoanza ramani ya Soka hakuna ambaye alishtuka kuwa Kuna watu tishio wanakuja na wanaenda kufanya yale waliyoyashindwa watu wengi. Kuna Vilabu toka vimeanza kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara havijawahi kuonja wala kuhisi …

  • 23
  • 0
Championship
July 9, 2024

GADIEL: NAJIVUNIA MAENDELEO YANGU NDANI YA SINGIDA


NAJIVUNIA NA KUFURAHIA MAENDELEO YANGU NDANI YA SINGIDA – GADIEL MICHAEL Yapo mambo mengi ambayo wadau na mashabiki wetu mngependa kuyafahamu kuhusu wachezaji wetu. Kupitia tovuti yetu hii, mtapata kufahamu mambo yote mazuri kutoka kwa kila mchezaji kupitia mahojiano maalum. Mchezaji wetu ambaye ni mmoja wa manahodha ndani ya kikosi chetu na nyota mkubwa wa soka la Tanzania, Gadiel Michael, amefunguka mambo kadhaa yanayomhusu ambayo hajawahi kuyasema popote. Fuatilia makala hii maalum ambayo ilifanywa kwa mtindo wa maswali na majibu. — Safari ya soka na kucheza Ligi Kuu kwa Gadiel Michael ilianzia Azam FC iliyomlea na kumpa mwanga kuonekana zaidi …

  • 26
  • 0
we are online

general partners & sponsors
of Fountain Gate FC

partners
..
..
..
..

go top