JEZI ZETU ZIMEREJEA SOKONI

Habari njema kwa wadau mashabiki wote wa klabu ya Singida Big Stars.

Jezi zetu zimerejea tena sokoni kwa awamu ya pili baada ya mzigo wa mwanzo kuisha madukani.

Sasa unaweza kujipatia jezi yako ya blue, kijani au njano kwa gharama ile ile.

Bei Ya Jumla: 28,000/=
Bei Ya Rejareja: 30,000/=

Kwa mashabiki wetu wa Singida, jezi zinapatikana kwenye ofisi zetu zilizopo Singida Mjini, Mataa ya Sabasaba – Njia ya kwenda Jineri.

Mawasiliano: +255 716 363 865 (Madam Tabitha).

Share

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

go top