Football

Football
July 9, 2024

SINGIDA BIG STARS WANAJITAFUTA, WATU HAWASHTUKI!

Safari ya kutafuta mafanikio unaweza kuianza nyakati sawa na mwenzako, kinachotufautiana ni bidii na njia ambazo watu wanatumia kuyapata mafanikio. Sasa hapo utofauti unapoanzia ndipo yanapozaliwa Maneno kama “yule tulisoma wote” “wakati anaanza biashara tulianza wote” na mengine mengi. Hiki ndicho ambacho kinaenda kutokea Kwa vilabu vidogo na vile vya kati nchini Kila nikiitizama Singida Big Stars. Ni miaka michache nyuma hata kwenye ramani ya Soka haikuwepo, hata ilipoanza ramani ya Soka hakuna ambaye alishtuka kuwa Kuna watu tishio wanakuja na wanaenda kufanya yale waliyoyashindwa watu wengi. Kuna Vilabu toka …
Championship
July 9, 2024

GADIEL: NAJIVUNIA MAENDELEO YANGU NDANI YA SINGIDA

NAJIVUNIA NA KUFURAHIA MAENDELEO YANGU NDANI YA SINGIDA – GADIEL MICHAEL Yapo mambo mengi ambayo wadau na mashabiki wetu mngependa kuyafahamu kuhusu wachezaji wetu. Kupitia tovuti yetu hii, mtapata kufahamu mambo yote mazuri kutoka kwa kila mchezaji kupitia mahojiano maalum. Mchezaji wetu ambaye ni mmoja wa manahodha ndani ya kikosi chetu na nyota mkubwa wa soka la Tanzania, Gadiel Michael, amefunguka mambo kadhaa yanayomhusu ambayo hajawahi kuyasema popote. Fuatilia makala hii maalum ambayo ilifanywa kwa mtindo wa maswali na majibu. — Safari ya soka na kucheza Ligi Kuu kwa Gadiel …
Championship
July 9, 2024

RAIS WA SINGIDA FOUNTAIN GATE AITISHA KIKAO CHA DHARURA

Rais wa Klabu ya Singida Fountain Gate amekutana na wachezaji na benchi la ufundi kujadili mwenendo wa timu na kuweka mikakati imara kwenye Mzunguko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kikao kimelenga kuimarisha ufanisi wa timu baada ya matokeo mabaya katika mechi za karibuni. Singida Fountain Gate, ambayo haijapata matokeo mazuri hivi karibuni, inaonyesha uongozi thabiti na jitihada za kuchukua hatua za haraka kurekebisha mwenendo. Uamuzi wa kufanya kikao na wachezaji na benchi la ufundi unathibitisha dhamira ya uongozi wa klabu hiyo katika kuboresha utendaji wao uwanjani. Hatua hii …
go top